Msaada wa namna ya kutengeneza system

Ryuba

New Member
Mar 15, 2016
4
0
Naomba msaada nataka kutengeneza system ya matokeo kwa kutumia html, css, php na mysql ambayo itakuwa na vitu vifuatavyo.
1.mwanafunzi aweze kujisajili online
2. mwanafunzi aweze kuona matokeo yake
3. aweze kuangalia kama amelipa ada.
4. kuwe na upande wa admin.

kama kuna mtu anaweza kunisaidia notes au link yenye code za kunisaidia naomba msaada wenu jamani.
Unaweza kunitumia kwenye email mjrkmichael@gmail.com
 
KAKA KAMA UNATAKA UIELEWE VIZURI HIYO SYSTEM JARIBI KU- GOOGLE CODES ZOTE WATAKUPA
 
Back
Top Bottom