stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,618
- 5,529
Katika utafiti wangu ambao si mkubwa sana nimegundua kuwa back-end nyingi za website zinafanya kwa PHP hapa Nchini kwetu, ningependa kujua website zingine hapa nchini ambazo zimefanywa kwa other Languages au Framework tofauti kama Python, C/C++, Java, Ruby, Angular Js, Node Js, zingine Ongezea.