Kupunguza ukali wa Mwanga unaokisiwa na screen ya simu (glaring)

Olumolongez

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
818
299
Salaam kwa wote. Naomba kujua kama kuna kifaa unachoweza kuweka kwenye screen ya smartphone ili kupunguza ukali wa mwanga unavyoakisi.
 
Kuna application nyingi tu playstore(android phones)search night mode itakusidia kupunguza mwanga kama vile umeweka tinted
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom