Msaada: Jinsi ya kuroot samsung s5 sm-g900f

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,818
7,106
Habari za saiz wanajamvi?
Leo nimekuja hapa nahitaji msaada wenu. Nimejaribu kuroot simu yangu kutumia kingroot, lakini ikifika 70% Ina fail kama inavyoonyesha kwenye picha hapo chini. Tafadhari naomba msaada wenu. NInI nifanye ili iweze kuwa rooted. Simu yangu ni samsung s5 sm-g900f.

06b13e37afeec7fbb1420e7e8c7d2f9f.jpg
b09700827262ce564ca6b7cbe58856e4.jpg
be1398e26624675c95e5bba98f9cd8d0.jpg
46089b8cd60549b4099b54a91c7611a1.jpg
aa07ad33192fe04833fb9db237f626f1.jpg
 
Back
Top Bottom