nadhani majibu umeyapataHii kitu inachukiza hasa wakati wa mechi live. Utasikia watu wanashangilia bao ambalo litafungwa sekunde chache baadaye kwenye tv yako. Hii inasabishwa na delay kadhaa kwenye mfumo mzima kuanzia upigaji picha, capturing ,encoding modulation ,propagation, ikifatiliwa na buffering, decoding, rendering kwenye kingangamuzi.
Haha. Aisee nimepata idea moja amaizing ya kutangaza king'amuzi.Hii kitu inachukiza hasa wakati wa mechi live. Utasikia watu wanashangilia bao ambalo litafungwa sekunde chache baadaye kwenye tv yako. .
Kwetu kuna mechi ilipigwa tuliangalia kwa tv,tv ya jirani ilikuwa gori ya kwetu kipa kadaka
hiyo physics ilioko hapo mkuu ni JECHA pekee atayeweza solve hiyo problemKwetu kuna mechi ilipigwa tuliangalia kwa tv,tv ya jirani ilikuwa gori ya kwetu kipa kadaka
Simply'Mtaa wa tatu kuna bar.
Wanaweka habari ya saa mbili kwa sauti. Na hapa tumeweka.
Nikikaa nje nasikia TV ya kwenye bar inawahi kuliko ya hapa nilipo, Wakati habari ni live.
Kwanini?
Au kuwa kingamuzi tofauti inaAffect speed ya mawimbi?