Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 991
Ni technology inayotumia mwanga kusoma vitu mbali mbali ni kirefu cha light amplification stimulated by emmision of radiation, Laser ni mwanga wa rangi ya aina moja,Mwanga huu hausambai kama miale mingane unakuwa spotted katika point ulipoelekezea. Laser hutumika kusoma Cd katika dvd yako pia Bar code scanners katika supermarket pia hutumika ktk military purpose kama kulenga au lar hutumika kukatia vitu kwa usahihi kabisa nakaribisha mijadala kwa ndani zaidi juu ya technology hii ya Laser

