Opera ni vision ya computer ktk smartphone na opera mini ni vidion ya smartphone. Ktk opera mini, kile unachosafa kinakuwa recorded ili kurahisisha kurudi nyuma bila kuload, wakati opera yenyewe uki back ita load tena page uliyotoka. Hivyo yani
opera- ni browser ya kawaida ambayo haina proxy, ukitumia bundle lako linakatwa kawaida na mb zinaenda nyingi
opera mini- hii ina proxy na inacompress webpage hadi asilimia 90. mfano ulitakiwa utumie mb 100 utatumia mb 10 tu.
hio compression ipo kwenye kubrowse tu unapodownload au kuangalia vitu online hakuna compression
opera max- hii inacompress video toka site maarufu duniani kama youtube. inacompress hadi asilimia 50. mfano unaangalia video ina mb 100 zinaweza kwenda mb 50 tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.