TECNO H6 primary camera error

NkumbiSon

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
2,394
3,332
Hii cm nikiopen kamera inafungua ya mbele tuu so picha ni kujiselfie tuu. Msaada wenu, mi nimeirestore lakini bilabila je niiflash kabisa kwa pc au kuna njia nyingine?
 
Tafuta fundi wa uhakika aifungue na kurekebisha camera inaweza kuwa lens imesogea.

Tecno H6 yangu ilisumbua camera, ilikuwa haiconnect kabisa, fundi akaifungua simu na kuweka sawa camera ikawa sawa.
 
Back
Top Bottom