BabaTina
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 429
- 576
Wakuu habari ya tarehe ya 7/4/16. Kama kichwa cha somo kinavyosema hapo juu natafuta ushauri mzuri wa kompyuta ambayo itakuwa very powerful katika kufanya HD video editing na graphics....I prefer windows PC lakini ukiwa na ushauri toka apple products pia sio mbaya, kwani nipo njiani kufungua ofisi binafsi inayoshughulika na masuala hayo..Ukinipa specifications na estimates za bei ntashukuru sana!
Nasubiri michango yenu
Nasubiri michango yenu