HELP ME!!! My ps4 is cursed with Nat Type 3

Nanomyte

Member
May 28, 2013
90
11
habari zenu wanajamii,

tatizo langu ni siwezi kucheza ps4 online kwa sababu nat type yangu ni 3 na sio 2 au 1.

natumia router ya tigo 4g.

nilijaribu na airtel na smart napata nat type 2 lakini speed ndo tatizo..

naomba mnisaidie
 
Back
Top Bottom