Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau kama kuna mwenye kujua software ninayoweza kutumia kubadili sauti kwenda kwenye maandishi
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Inanini cha zaid??
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Habarini natumia HTC M9 sasa inatumia Android version 5.1 nahisi ndo inaitwa Lollipop sasa nataka ku update kwenda marshMallow ambayo 6.0,Je offical update imetoka? Na ninaomba maelezo Namna ya Ku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni msaada kuhusu bluestack kila nikiistall kwenye pc inadai 2gb ya physical memory.kwa mwenye ujuzi msaada unahitajika.
0 Reactions
5 Replies
935 Views
Wadau habari za muda huu? Nina galaxy note 3 ina tatizo la sensor yake, nijuavyo mimi ni kwamba ukiwa unapiga simu ukiweka sikion mwanga wa simu huwa unazima kutokana na kuiziba ile sensor ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
imeandika Anti inadvertently mode, alafu ikafwatiwa na Do not cover the top of the screen wakati haijawa covered, naomba kama kuna mwelewa na hizi antivirus anisaidie, natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna maelezo yamejiandika, Anti inadvertently mode. Kwenye top, alafu yakafwata tena maneno; Do not cover the top of the screen, wakati screen haijawa covered, msaada kwa wajuzi wa viruses wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale ambao teknolojia haijawatupa, nisaidieni elimu. Ninapata changamoto kurekodi kazi fulani. Kwasasa natumia AUDACITY katika laptop, ninaishi pahali kuna kelele sana, hivyo nashindwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Yes, you can recover your permanently deleted files. They can also be recovered if you delete them from Recycle Bin. I always wonder how a file can be recovered after its removal from Recycle bin...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada tutani wadau....wapi naweza pata duka linalouza micro usb to hdmi cable pamoja na screen enlarger ya simu kwa dsm. Nawakilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
msaada jamani namna ya kudownload app kama vidmate au mobdro kwenye pc
0 Reactions
1 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
670 Views
wataalam wa It.. nimekuwa nikiona thread nyingi za watu wakitaka kuroot simu zao... lakini wakiwa hawa sababu maalumu inayomfanya a rooted simu yake.. au ni apps gani anazipata na ku enjoy...
1 Reactions
47 Replies
11K Views
Habari wanajanvi. Naombeni msaada Computer yangu nilikuwa nataka ku install window upya mwanzoni ilikuwa na window 7 nikataka ku update kwenda 8 ikagoma kabisa inadai disk C haina nafasi wakati...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu kwenye pitapita zangu nimeona madishi yameandikwa starsat haya yanamilikiwa na kampuni gani? yanauzwa bei gani? yana channel ngap? ni ya kampuni gani?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wana jf,smart phone yangu samsung galaxy s6mini bado ina empty space ya gb 2.9 lakin nikidownload kitu inaniambia imejaa,nimejaribu kufita baadhi ya mafaili lakin wapi.nifanyaje?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenyu wanajamvi. Naomba msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa kozi za Diploma ya Sheria ama Diploma ya Business Administration kwa njia ya mtandao(Online) tafadhali anijuze. Asante.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wa teknolojia salam. Nina site yangu natafta choo, lkn kila nikichimba, nakuta jiwe limesambaa kufunika eneo lote linalokusudiwa kuchimbwa choo. Watalaam, nitumie nn ili niweze kuondoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…