We are the first major browser maker to integrate an unlimited and free VPN or virtual private network. Now, you don’t have to download VPN extensions or pay for VPN subscriptions to access...
NI HATUA NZURI YA UWEZEKANO WA BINADAMU KWENDA KUISHI, DALILI ZAONYESHA KUNA VIUMBE HAI
Leon Bahati
WANASAYANSI wa anga kwa muda mrefu wamekuwa wakitafuta uwezekano wa maisha katika sayari...
Kuna mtu nimempa atazame simu yangu akagusa kitu
anasema ame restore..sijui kama ndo hivyo matokeo yake
kila kitu kimefutka...picha zote na apps zote
simu imekuwa kama mpya...
je kuna uwezekano...
Salam wakuu,
Simu yangu aina ya asus inakataa kuunganisha hotspot, inajibu kuwa internet ni tatizo wakati natumia internet vizuri tu kwa kublowse.
Asanteni
Specification ios7.1.1 bought at a second hand from my friend ambae kwasasa hapatikan na nshafanya restoration lakin device ina demand account that was used to setup that ipad
Aisee kwa muda mrefu nilikuwa naiaminia internet speed ya airtel..lakini kwa hizi siku za karibuni...kasi ya airtel ni ndogo mno...kama konokono....kufungua kapage kadogo dogo tu kapdf...
Salaam wakuu. Nina tablet aina ya Vodafone Smart Tab 3G ambayo inakubali tuu kutumia line ya voda. Nikiweka line ya mtandao mwingine inaniambia niingize code za network restriction. Nimeshauriwa...
jamani wana jamvi mwenye ufahamu juu ya namna utaratitbu unavyofanyika.pale mtu anapokuuzia line ya sim bank.ie airtel money,tigo or mpesa..aliyosajili kwa jina lake.anatakiwa abadili vitu...
Wakati mwigine huwa tunazima vifaa vyetu vya umeme. Lakini wakati Huo huo vyanzo vya umeme vinaendelea kuzalisha. Je, umeme ule uliozalishwa huenda wapi? Ingawa najua hilo ni ngumu kutokea kwa...
Wakuu kuna rafiki yangu anasimu yake vodafone vf685 aliroot sasa alijisahau akaitoa ile sehemu ya dawnload inayokuwa kwenye simu na sasa hawezi kuinstall app yoyote hata kupitia apk ninaomba...
Je, unataka bypass Cyberoam kwenye simu Android katika chuo au shirika lolote? Kama ndiyo, basi kufuata mafunzo haya. Hii ni kwa rooted and non rooted.
Kwa wale wadau wanaotaka ku Bypass Cyberoam...
Jamani naomba munisaidie nina iphone 4 ina shida ina wake kila baada ya 15 sec baada ya kulock screen nimejaribu settings zote nimeshindwa nimeirestore bado nimeshindwa nimesoma kwenye google bado...
Simu aina ya tecno p3 imeleta madhara ya kiafya kwa mtumiaji.
Simu hiyo INA nyufa kwenye kioo chake. Mtumiaji aliitumia pasiposhida kwa muda. Ghafla mkono ukafa ganzi ambao ndio huutumia...
Unaweza ku design icon za high quality zenye style kama hizi?
Nitumie sample tatu kila moja zenye uwiano na maneno yafuatayo
1. Education 2. Health 3. Sports
Ambatanisha na bei yako.