Habari zenu wadau ..
Kuna tatizo limetokea kwenye sim yangu jana , kwamba kama simu iki lock , halafu niki unlock ina display white screen , Niki touch screen inaanzaa kuleta matangazo ya...
Makampuni mengi yanayojihusisha na teknolojia siku hizi yanathamini ulinzi na usalama wa taarifa za wateja wake sana. Kwa mfano tumeona kampuni ya Apple ikipinga maamuzi ya FBI kutaka kufungua...
Je, wajua mtu aliyevumbua nambari ya siri maarufu kama PIN ambayo watu wengi hutumia katika kadi za benki na katika kufanya malipo hakulipwa chochote kutokana na uvumbuzi wake?
Mwanamume huyo si...
Kampuni ya simu ya Zantel imetoa msaada wa kompyuta 21 na huduma ya intaneti bure kwa vyuo saba vya walimu pamoja na shule ili kuboresha na kukuza mfumo wa elimu kupitia mafunzo ya habari na...
Muungano wa Ulaya EU umeifungulia rasmi mashtaka ya kujihusisha na vitendo vinavyozuia ushindani wa kibiashara kampuni ya kuhusiana na jinsi kampuni hiyo ya teknolojia inavyotangaza mfumo endeshi...
Ndege inayotumia nguvu ya jua (Solar Impulse 2) kabla ya kuanza kuruka
Ndege inayotumia nguvu za jua yazinduliwa
HISTORIA ya urushaji wa ndege inayotumia nguvu ya jua kwa kuzunguka Dunia...
salaam wadau,
Hii application waliitangaza kua ni nzuri sana kulinda taarifa zako binafsi na pia kulinda simu
yako,basi mimi nikaiweka kwenye simu yangu kwa malipo ya takribani TZS 600 kwa...
Habarini, Siku kadhaa zilizo pita nikikuja na uzi hapa nikiomba watu wanisaidie kunielekeza jinsi ya kuupdate android version toka 5.1 kwenda Marshmallow 6.0 na nina tumia HTC ONE M9!
Kuna mmoja...
(This article can also be found here: Tanzania Web Consulting)
Online presence: A critical success factor
In today´s world your presence online will determine how much success you get in...
Habari za asubuhi wana JF....jana nilipeleka flash yangu stationery moja hivi kwaajili ya kuprint document flan.......nilipokuja kuileta kwenye PC yangu hali ulikua mbaya....nilijisahau nikaopen...
laptop yangu ilieleta meseji isiyofutika ikisema kuwa "window is not ginuine" wakati nimetumia window hii zaidi ya miezi 6 sasa. na jana imegoma kabisa kufunguka, nikiwasha inawaka then inaleta...
Simu yangu aina ya 1 plus kioo kimefunjika haifanyi kazi kabisa ila kinaonyesha, kwa yeyote mwenye kujua sehem vinavyopatikana anijulishe please!
Natanguliza shukurani zangu asante
Habarini!, Dishi hapo awali lilipoteza channel zote za TV. Alipoitwa fundi; fundi akarekebisha na channel zikarejea kama kawaida, tatizo limekuja kwamba channel zote hazionekani yaani zina_scrutch...