Nimekuwa nikikutana na changamoto ya simu za android hasa kwenye internet!
Wakati simu inapokuwa ikitumika kunakuwa na application zinazotokea zikihitaji ziwe installed kwenye simu na zinazuia...
Habari ndugu zangu.
Nina kacmu ka tecno j7 je ninaweza kuweka line ya 4G.
Huku nilipo tigo wameleta line za 4G na wanabadilisha au kuuza kwa Tsh 2000. Naogopa kupata hasara ya pesa kwa kununua...
Jana Tigo wamezindua App store yao.
Baada ya kuona tangazo lao kwenye browser ya Opera nikaclick, ile kuingia tu inaniambia nimejiunga na AppStore na nimepata SMS inayosoma:
"Asante kwa...
Enzi za kuchaji simu mara moja au mbili tuu kwa wiki, enzi za kutoshtuka kivile pale simu inapodondoka…. Watumiaji wapya wa simu watakuwa hawaelezi haya ila wale waliokuwa na simu tokea enzi za...
jamani hivi sahizi ukifungu a site yao una pigwa na porn za ajabu ajabu sijui kama wanajua....hata ukisearch google wanakuambia this site may have been hacked!...check now
update
ukifungua link...
Naomba kwa mtu anayefahamu vitu vya ziada zaidi ninavyoweza kufanya kwaaji ya ulinzi wa simu ikiibiwa au mtu akitaka kufungua taarifa za simu yangu,nawasilisha
Habari wana jamii forum,
Ninashida na king'amuzi changu cha startimes picha imekata halafu inaniambia No acces not subscribed, nimenunua kina mwezi na nusu na walinambia nitaangalia miezi 3 ndo...
Habari wana jf,
Nina simu yangu Blackberry Z10 nimei-ristoo sasa kwa bahati mbaya ilikaa muda mrefu sana kama lisaa ikiwa ina load tu mpaka chaji ikaisha sasa baada ya kuchomeka kwenye charge...
Nauliza kidogo, naona watu wanazichangamkia sana hizi gari aina ya TOYOTA BREVIS. Kuna nini cha ziada?
============
The Toyota Brevis is a mid-sized luxury sedan introduced in May 2001...
Je unajua kipi kinafanyika kwa akaunti ya Facebook ya mtu aliyefariki?
Hiyo ndio mada yetu ya wiki hii katika kipindi cha Sema Uvume. Facebook imetangaza sera mpya inayokuruhusu kuchagua mtu...
Nina blog yangu shida ni kwamba nashindwa kuweka vipengele mfano msomaji akifungua akute kuna sehemu ya habari, magazeti, ajira nk yani akifungua halafu aende kwenye sehemu husika
Wapendwa za asubuh,, naomba msaada jinsi gani naweza kukonect laptops mbili na kutransfer file kutoka laptop moja kwenda nyingine kwa kutumia lan cable,, au ka kuna njia nyingine tofauti na lan...
Nimeona niwashirikishe wenzangu wenye simu baada ya kushirikishwa kwamba ni vyema unapochaji hakikisha alama ya kwenye kichwa cha chaja iko sahihi unapoingiza badala ya kubahatisha kwani kwa...
Kila nikifungua mozilla Firefox inaandika "Firefox has stopped Working" halafu inasema check Online for solution and close a program hata nikifanya hivyo bado haitatui hayo matatizo ki fupi...
Wadau natumia simu aina ya sumsung Duos laini mbili na model namba yake ni
SM-G 360H
Hii simu yangu ina high sensitve touch ambayo nikiwa naitumia wakati nimewasha data inaniumiza sana ngozi ya...
Habari zenu wanajamii forum
Naomba msaada kwani kompyuta yangu imeingia kwenye maji na haiwaki tena,je inaweza kuirudia hali yake ya awali au nifanyaje?hekima zenu wakuu
kupitia jukwaa hili nilitoa thread kuhusu namna ya kuinstall window katika laptop yangu.
Nashukuru wadau wote mlionishauri mpaka nimefanikiwa kuweka window nyingine baada ya iliokuwepo kucollapse...