Tecno j7 inakubali line ya 4G?

DULLAH B.

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
672
149
Habari ndugu zangu.

Nina kacmu ka tecno j7 je ninaweza kuweka line ya 4G.
Huku nilipo tigo wameleta line za 4G na wanabadilisha au kuuza kwa Tsh 2000. Naogopa kupata hasara ya pesa kwa kununua line ya 4g ndo maana nawauliza ndugu.

Nawatakia weekend njema.
 
Haikubal
 
Back
Top Bottom