Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,113
- 24,642
Nimekuwa nikikutana na changamoto ya simu za android hasa kwenye internet!
Wakati simu inapokuwa ikitumika kunakuwa na application zinazotokea zikihitaji ziwe installed kwenye simu na zinazuia screen nzima kiasi kwamba kile unachokitafuta au kile ulichokuwa ukikiangalia kwa wakati huo kinazuiwa! Kama zipo njia za kuzuia hizi app tupeane maana hili jambo linawapata watu wengi!