Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,424
- 6,259
Habari zenu wadau,
**Niliweka thread ya kwanza naona haikuwekwa hewani labda kuna yasiyowapendeza mods, kwa hyo hii ni edited, kwa ambao hawakubahatika kuisoma ya kwanza idea ilikuwa ni facebook group niliweka na link za kujiunga, naona mods wakaiweka chini ya ulinzi mkali, isiwe shida nime edit na kutoa hiyo link, thread hii itatumika kama mbadala wa idea ya mwanzo ingawa ilikuwa ni rahisi zaidi kuliko hii,**
Kama tittle ilivyoanza najua wengi walioingia humu ni wadau wa PC gaming kwa lugha nyingine tunaweza kusema wanaocheza games mbalimbali kwa kutumia Desktop computers au Laptops, Kuna changamoto kadhaa zimenishawishi kuweka thread hii na suluhu ndogo, Kama tunavyofahamu ni wengi wamekuwa na hamu ya kujenga computer mahususi kwa ajili ya gaming au kupata Laptop yenye sifa hizo bila mafanikio, wengine huitaji vitu muhimu kama Graphics cards, Power supply, Gaming monitors, Genuine controllers, CPU, RAM, na vingine vingi ili kukamilisha mahitaji ya system aitakayo lakini imekuwa ni changamoto kupata vitu hivi kwa urahisi.
Ni aidha utatafuta sana na mwingine anaamua kungoja tu itokee kama bahati kuvipata, wengine nafahamu ni rahisi kwao kuvipata kwa kuagiza watu nje au kununua direct kutoka online stores kama ebay na amazon ila hao ni idadi ndogo tu katika wengi wenye mahitaji ya vifaa hivyo.
Tukija katika upande wa pili kuna watu pia wana vitu kama hizo card, cpu, ram n.k lakini labda wanataka kuviuza au kubadilishana ila ngumu kwao kujua watapata wapi wahitaji wa vitu hivyo.
Sasa nimekuja na wazo la kufungua thread hii, mahususi kwa ajili ya PC gaming stuff (Ni vitu vyote vitahusu PC gaming tu), wanaouza vifaa itakuwa rahisi kuwapata wahitaji na wanaohitaji vifaa itakua rahisi kupata kwasababu utakuwa ni mkusanyiko mkubwa na kama tujuavyo penye wengi pana mengi, games mbalimbali watu watabadilishana na hata kuuziana na pia kutatua changamoto mbalimbali tunazokumbana nazo katika PC gaming.
Tunangoja maoni zaidi kutoka kwenu wadau.