lameck laedo
Senior Member
- May 15, 2016
- 174
- 76
Sijajua inakuajekuaje lakini tangu waanzishe hii kitu ikifika hiyo mida ya saa sita huwa natumia youtube, playstore, na naperuzi website yoyote na kudownload kupitia browser ya chrome na kudownload file lolote ili mladi liwe kwenye link za google drive na kwa speed ile ile, sasa sijajua ni kwangu tu au vipi.!!!