Sony j experia imeji-lock, msaada

p emy

Member
Sep 12, 2015
57
9
Nilitumia avg program baada ya kubadili line cm ikajilock, kwa bahati mbaya ipo offline nimejaribu kurudisha line ya awali bado inadai password nikiweka password haikubali. Msaada please kwa ajuae nini cha kufanya.
 
Back
Top Bottom