Eric Mkomoya
Member
- Oct 10, 2014
- 55
- 56
Vitu vyote vinavyohusina na simu kutoka kampuni ya Simu vya simu yao mpya aina Samsung
galaxy Active inakuja kama mwendlezo wa simu waliyoitoa tayari ya Samsung galaxy S7 Vimevuja.
Tetesi zimesambaa kwamba simu hiyo inakuja sokoni watumiaji wengi wakijiuliza itakua na nguvu kiasi gani kuizidi Samsung galaxy S7 Ambayo inatesa sokon kwa kua ina uwezo wa kuzuia kuingiza maji.
Evan Blass anaejulikamna kwa kuvujisha ametoa ripoti iliyowekwa katika katika VentureBeat ikitoa maelezo mapya kuhusu hii simu hii mpya inayodhaniwa kua itakuja ikiwana umbo zuri la kuvutia ikiwa na Qualcomm SNAPDRAGON 820 prosesa, 4GB za ram na nafasi ya ndani kua 32 GB, kimsingi haina tofauti sana na mtangaulizi wake ila inachoipa utofauti Zaidi simu hii ni uwezo wake kua na mfumo wa android mpya maarufu kama MARSHMALLOW ambayo utakuja moja moja na simu yenyewe.
Lakin si prosesa peke yake itakayo wavutia watumia wa simu hii mpya inayokuja ila pia uwezo wa betri lake kua 4000mAh mpaka 3500mAh ambayo hali nzuri kwa betri za simu janja, wakati kioo chake kinatarajiwa kua inchi tano kwa muonekano (resolution) wa 1440*2560, kwa wale wapiga picha katika simu simu hii inategemewa kuja na kamera ya mp 16 nyuma na mbele kua 5 megapixel.
watumiaji wa Samsung msubiri simu hii inayotarajiwa kutolewa rasmi mwezi wa sita tarehe kumi, (10th june)