Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,694
- 2,588
Nahitaji PeopleSoft FSCM kwa ajili ya kujifunzia, ningependa kupata zile VM images zinazotolewa na Oracle kwenye site yao (Hakan Biroglu: Installing PeopleSoft 9.2 pre-build virtual machine), sema bahati mbaya kuaccess mpaka kamopuni iwe na mkataba na Oracle.
Hizi VM zinaweza kupatikana bongo? Kama kuna gharama tutaelewana!
Hizi VM zinaweza kupatikana bongo? Kama kuna gharama tutaelewana!