Microsoft Flight Simulator

atrash

Member
May 1, 2011
75
12
habari wana jf natafuta new version ya hiyo game mimi nina ya mwaka 2004 kama kuna mwenye link ya new version anijuze natanguliza shukran
[h=3][/h]
 
hiyo ndiyo ipo cracked version sijui kama kuna cracked version nyingine hata mimi nimetafuta sana.... graphics ni mbovu kabisa hii ya 2004...
 
habari wana jf natafuta new version ya hiyo game mimi nina ya mwaka 2004 kama kuna mwenye link ya new version anijuze natanguliza shukran
[h=3][/h]

Mkuu mimi ninayo microsoft simulator X ambayo ni lateset ina GB kama 8.6 na niliipata online kickass torrent
 
Mkuu mimi ninayo microsoft simulator X ambayo ni lateset ina GB kama 8.6 na niliipata online kickass torrent

ina ndege gani? graphics vp? ntakupataje unicopie? very muhimu ni inbox hata phone no. yako!
 
ina ndege gani? graphics vp? ntakupataje unicopie? very muhimu ni inbox hata phone no. yako!

Sijazihesabu lakini waweza ongeza ndege unazizihitat mm niliongeza hadi airforce one niko dar ni pm no yako ntakucheck
 
Sijazihesabu lakini waweza ongeza ndege unazizihitat mm niliongeza hadi airforce one niko dar ni pm no yako ntakucheck

Mkuu namie naitafuta kwa udi na uvumba.... Nitaupataje? Npo upande wa pili wa muungano uku!!
 
na kupenda kwangu game kote hapa nimesanda,ili game limenishinda ngoja niendelee na gta 5 yangu nikichoka nitahamia fifa 14
 
ina ndege gani? graphics vp? ntakupataje unicopie? very muhimu ni inbox hata phone no. yako!
ndege zipo katika variation 101 zilipo ndani ya Manufacturers 16.. Graphics ni nzuri sio mbaya ila inahitaji PC yenye Graphics Card, Processor na Ram kubwa kidogo ili kuepukana na frames kupotea wakati unapocheza na pia kuongeza spidi ya kuLoad. viwanja vya ndege unavyowezatumia ni around 24,000 dunia nzima kikiwemo 'Arusha Airport' kwa wale wa chugga!!:amen:,,Generally ni Simulator nzuri..
k4lp.jpg

9mvp.jpg

bl7m.jpg

5plt.jpg

B-737-236Adv-Air-Tanzania-5H-MUZ-Kilimanjaro-Intl.jpg

concorde-exterior-gallery-9.jpg

Sim4_3.jpg

2007-6-6_12-23-20-645.jpg
 
We kajifunze kwa kutumia youtube ukitumia akiliyako utachemka nenda youtube andika how to play microsoft simulator
 
ee Mungu nisaidie ninunue pc wenzangu wanafaid sana mm kila cku kuomba omba tu , me nachezaga flight simulator falcon kwenye lumia 620 c mbaya sana
 
ee Mungu nisaidie ninunue pc wenzangu wanafaid sana mm kila cku kuomba omba tu , me nachezaga flight simulator falcon kwenye lumia 620 c mbaya sana
Pole sana mkuu ila unaweza kuwa unaweka hela kidogo kidogo, kwani haufanyi kazi?
ee Mungu nisaidie ninunue pc wenzangu wanafaid sana mm kila cku kuomba omba tu , me nachezaga flight simulator falcon kwenye lumia 620 c mbaya sana
 
Games (Eurotruck Simulator 2, Flight Simulator X, Farming Simulator). Green Sustainable lifestyle and Gospel Piano Music. Your are welcome.
Hua natafuta vlog wa kibongo mwenye idea za kijanja tufungua joint ac ila nakosa wengi wamejaa mambo ya kina sepetu na daimond tuu. Naomba email yako tudiscuss kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom