Tatizo la wino kufifia kwenye epson printer.

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,430
3,532
habari wakuu,
juzi nilijaza wino kwenye printer yangu ya epson l800 lakin ghafka ikaanza kutoa picha za kufifia na hainipi meseji yoyote kama kuna tatizo.
naomba ushauri wa nini nifanye.
 
Back
Top Bottom