asante mkuu ngoja nijaribuWakati unatafuta software, hebu angalia kwenye excel kuna sheets nyingi tu zinaweza kukusaidia. Fungua excel sheet, halafu nenda kwenye file, open new, business. Pitia moja moja Nina hakika utaona ya kukufaa. Unahitaji internet nadhani wakati unafungua kwa Mara ya kwanza. Kila la kheri
mkuu bado unahitaji? maana natengeneza system kama hizoNahitaji software yenye database kwa ajili y pharmacy. Nataka nianze kuinstore information diitally kuhusu bidhaa zilizotoka,zinazoingia expiration date na mauzo kwa ujumla.
karibuYah bado nahitaji, nita pm later