Channel za Bongo

skydmx

JF-Expert Member
Jun 3, 2010
229
96
natumaini wote salama..
wakuu naomba msaada natafuta mtu ana provide server channel za iptv hasa chanel za bongo ndio muhim kwangu / sitaki application za bure wala links za bure nataka mtu anatoa hizi huduma kwa njia ya iptv server na nipo teyari kumlipa.
kama kuna mtu anatoa hii huduma anione pm.

asanteni
 
TTCL IPTV kupitia cable2stream
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom