E mail yangu haitambuliki, naweza kuirecover?

Lusajo11

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
1,887
1,962
Salaam,

Ni email account yangu ya muda mrefu sana, sija log in kwa miezi kadhaa, sasa kuna document muhimu nataka kuifoward mahali naambiwa haitambuliki... msaada tafadhali. Nimejaribu kucheki "help" naona sipati jibu la shida yangu. CHIEF MKWAWA na wataalam wengine tafadhali
 
Kama email yako haitambuliki basi umeiandika tofauti au lasivyo ime expire nakufutwa kabisa ingawa sio rahisi, mara nyingi password ndo huwa haitambuliki ikikosewa kuandikwa bali unaweza kuirekebisha kwa kuminya option ya forget password
 
Itakuwa imefutwa maana password yangu ni moja kwenye mambo yote kwahiyo siwezi kuipotea. Na email yenyewe nimeitumia kwa zaidi ya miaka 16, huwa naingia kukiwa na ishu tu.

Imebidi nicreate nyingine ili nitumiwe documents za muhimu ninazozihitaji sana. Ila bado nitahitaji kuirecover maana nimeiandika kwingi sana
 
Back
Top Bottom