aina maana kweli.store ya online kiurahisi tumia tu site ya wordpress na plugin ya woocommerce,
ila sidhani kama kuwa na app ya store ni lazima uwe na website online.
nakushauli fungua blog utatunza file aina z0teWananiambia ukitaka publish app wanakuonyesha uandike website yako na url ya store alafu wanasema store page haipo kwenye taifa lako