Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Nilipost naomba msaada Wa Mozilla Firefox haifunguki na yapata wiki tatu sasa sijapata msaada huo. Kimsingi nimechukizwa sana na kitendo hiki ila Post zenye misaada ya Techno ndo zina comment nyingi na Misaada mingi mi sidhani kama kweli tumeishiwa Vitu kichwani na Kila mtu kuwa mtaalamu wa itel na Techo vitu kama Mozilla Firefox Browser tunaviona kama vitu vya Kijinga.