Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu nimekua nikijiunga na Offer ya Kifurushi cha Halotel cha week kwa mda wa miezi 3 sasa na nimekua natumia vizuri tuu Hotspot.
Tatizo limeanza Jana nilipokuta kuna mabadiliko ya Vifurushi vya Halotel yaani sasa hivi TZS. 500 Unapata 600MB/week ambapo Internet hii taangu jana imekua inanisumbua sana Mimi ninakaa Dar es Salaam Kwa yoyote alie na uzoefu wa hili suala anisaidie naona inazunguka tuu mimi nahisi kama imechokonololewa hivi kupunguza speed l.
Naomba kuwasilisha au nifanye nini nipate kasi ya awali.