battery ni dukani. price ni around 130k-180kMsaada kidogo wadau mie sio mtalaamu sana wa laptop ila ila Nina laptop yangu moja yakizamani zamani aina ya Dell Latitude d620 inanisumbua sana battery naweza kupata wapi? Kama utajua na bei itakuwa umenisaidia sana
batteries za pc zipo na zinauzwa katika maduka mengi..bei zake nyingi ni 50000-60000/=
Duka lipo mtaa wa msimbaziNenda duka la SAFARI kariakoo wanauza around 55,000/=