Nataka kuweka matenki ya wino nje kwenye Printer ya Canon Pixma 725

hizo ishu zinafanyika zaidi nairobi. kwa hapa kwetu mafundi wamezoea epson tuu. nakushauri uza hiyo canon ununue epson utapata huduma kwa wepesi
thanks mkuu issue sasa ni wa kumuuzia naye si hatapata tatizo kama langu?
 
kuna jamaa amewahi kuniwekea, yupo k/koo kuna gorofa karibu na round about ya msimbazi, ilifanya kazi kwa muda sasa hivi imestop, ana garama sana alitengeneza kwa laki mbili
 
Back
Top Bottom