SHAROBALO
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 771
- 349
Habari njema watumiaji wa windowphone sasa kuna VPN japo ilikuwepo muda mrefu ila hii ya sasa kiboko, unachagua hadi nchi utakayo.
na kwa mara ya kwanza naweza ona online tv za marekani kama nipo hapo mkuu HULU inafunguka bila shida vevo na regional restricted
content zake zote zinafunguka,na ni rahisi kutumia pia
hotspot shield free vpn
Hotspot Shield Free VPN – Windows Apps on Microsoft Store
kwann utumie VPN?!
Siku zote Unapo post kitu kwenye mtandao iwe facebook,instagram,watsap hata Jamiiforums. wataalamu (HAKERS NA SERIKALI) wanaweza kukutrace na kufahamu kuhusu wewe, hadi ulipo tena mamlaka husika mfano TCRA wanaweza kushirikiana na mtandao husika au internet provider wako na wakakutosa kwa kuonyesha detail zako,mfano aina ya simu unayotumia,mnara wa simu ulipo,aina ya mtandao wa simu unaotumia, pia watawapa namba 5 za simu unazopiga mara kwa mara etc...
Sasa imagine umepost kitu kibaya, umemtukana mtu,au umefoward picha mbaya yaan umevunja sheria za matumizi ya mtandao kwa ujumla na huna VPN!! basi unadakwa kama kuku bandani.
VPN inaweza kuficha na kudanganya kuhusu wewe. unaweza kupost kitu na kuchagua NCHI uliyopo mfano ukaselect kuwa upo USA, basi wale wataalam wakifanya mambo yao mnara unasoma kuwa upo nchi hio na hawawezi kukutafuta tena na ushahidi hamna.
pia VPN zinaweza kukusaidia kuhusu yafuatayo,
Unblock websites mfano youtube,facebook, sema bahati nzuri tanzania hamna mtandao waliotukataza tusiangalie!!(hadi porn zinafungua na mamlaka zipo ) hawajablock access
Enjoy anonymous web browsing (kutumia mtandao kwa usiri)
Get complete Wi-Fi security (wifi yako inakuwa secured)
Protect your bank info, passwords & downloads
from snoopers
Hide your IP address
Private & secure browsing
kufahamu kiasi gani upo wazi fungua What Is My IP Address? IP Address Tools and More ) hadi ramani ya kwenu uswahilini inaonyeshwa halafu ile icon ya
LOCATION iweke on uwasaidie kukupata!!
note: ukiwasha Data tu kumbuka kuwasha na Vpn yako ni sawa na kuvaa condom..isije tukakuimbia wimbo wa kosa la marehemu....
hakuvaa .... wakati unaelekea segerea kwa kufoward picha watsap