Itagoma tu mkuu hapo cha msingi ni graphics card kubwa kama ni desktop na kama ni laptop mmh itakuwa ngumu.right click kwenye icon ya hilo game afu nenda kwenye properties... Then compability mode...from there chagua windows xp au 7 afu pigia tiki kwenye resolution. Apply afu ok. Fungua hilo game.