MADHARA YA KUROOT SIMU NO YAPI?

shija jr

Member
May 21, 2016
58
44
Wadau naomba msaada wenu juu Ya MADHARA Ya ku root SIMU. Binafsi SIMU yangu nimei root Sasa ningependa kufaham MADHARA yake.
Naomba kuwasilisha
 
Risk of Bricking it, if the process involves flashing some files.

you void your warranty sasa hapa uta measure simu ukishanunua na warranty ikapata shida huwa walokuuzia ndo wanakusaidia kuiponesha au unatoa chako mfukoni.

hoewever kuna faida nyingi bila shaka unazijua ndo maana ume uliza hasara tu

sasa fanya Risk-Benefit Ratio and go ahead with your decision
 
Nashukuru mkuu

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom