Tumia aptoide lite: Aptoide Lite - The fastest App Store in the WorldNaomba kama kuna app zaidi ya hii aiweke hapa hii imenishinda!
Mwl.RCT unamaanisha jamaa aitoe play store?Tumia aptoide lite: Aptoide Lite - The fastest App Store in the World
Je kwa nini aptoide na si zingine kama Mobogenie au 1mobile market
- aptoide lite haitumii sana ram ya simu yako, size yake ni 0.5MB
- aptoide lite haina matangazo tangazo wala pop up ambazo hutokea iwapo umeweka Mobogenie au 1mobile
- aptoide lite haina usumbufu wa kukutaka ufanyies updates apps zilizopo katika simu yako
- aptoide lite ni salama zaidi.
Mwl.RCT unamaanisha jamaa aitoe play store?
Pia naomba kujua mbadala wa play service maana inakula sana memory
..kila nikitaka kudowload application inakataa.
Kama simu yako ishu ni memory nashauri ukishafanya installation hamishia baadhi ya mafaili ya app husika kwenye memory card kwa kwenda kwenye settings, apps, chagua app unaitaka kuihamisha, bonyeza move to sd card au nenda kwenye setting, storage, prefered installation, chagua sd card. Ukifanya hivyo apps zitaingia kwenye sd card na mafaili mengine yatabaki kwenye apps storage.Mwl.RCT unamaanisha jamaa aitoe play store?
Pia naomba kujua mbadala wa play service maana inakula sana memory
Kama android yko ni ya zamani yani ni 2.2.. Au 2.3.. Inawez ikasababisha playstore isifunguke n kukuletea error.Msaada wenu wadau,nimefanya restore ya simu yangu,nimefungua google account mpya..kila nikitaka kudowload application inakataa.Naomba kama kuna app zaidi ya hii aiweke hapa hii imenishinda!
Hizo zote tayari mkuu. Si wajua simu zetu zenye ram 1gb afu unakuta mb 400 tayari occupied.Kama simu yako ishu ni memory nashauri ukishafanya installation hamishia baadhi ya mafaili ya app husika kwenye memory card kwa kwenda kwenye settings, apps, chagua app unaitaka kuihamisha, bonyeza move to sd card au nenda kwenye setting, storage, prefered installation, chagua sd card. Ukifanya hivyo apps zitaingia kwenye sd card na mafaili mengine yatabaki kwenye apps storage.
Pole sana kwani unatumia simu gani?Hizo zote tayari mkuu. Si wajua simu zetu zenye ram 1gb afu unakuta mb 400 tayari occupied.
Mm kwangu nishatoa play store sema play service ndio inazingua ukiitoa. Na hio ndani ya dk unakuta imefika mb 200.
Kweli mkuuAhsante. Hii JF ni darsa tosha