Nilipata hii changamoto nikitumia line ya halotel but nikiweka mitandao mingine naconnect kwa hotspot kama kawa
Nikiweka Halotel line hotspot inatoweka
Mie Nina Iphone 5S pia haionekani ile software ya hotspot ambayo Hua inakaa chini ya data , ila nikiweka line nyingine Kama tigo inakuepo! Naomba watu wa Halotel waliangalie hili vzr maana Hua tunatumia hizi sm Kama modem.
Hata mimi naliona hili tatizo, kwa line ya Halotel.
Wadau hivi simu yangu ndo setting haziko poa au coz nikiweka line ya halotel sipati hotspot ili kuweza kutumia net ya simu kwenye laptop, sijajua tatizo ni nini ila natumia iphone 5 au kwa iphone haikubali? Yeyote mwenye experience na hii kitu
Sikia fanya hivi connect kompyuta yako na internet hapa sasa utatumia hata sim ya rafiki.Sio cm bwana mbona line zngine inakuwepo except halotel
Usianze kutukana na wakati ni wewe hujui kutumia iphone.Wanaboa sana hatutaki modem zenu msilazimishie watu wanunue kwa style hii ya kigoloko