Msaada: Apps za kucompress file

bwaxs

Senior Member
Aug 14, 2014
102
32
Naombeni msaada anayeweza jua app inayoweza kucompress movie, folder, music zikapungua ukubwaa iwe kwenye android device au PC.

Nimejaribu kugoogle lakini sijafakiwa.
 
huwezi kucompress movie kwa winrar na program zinazofanania,

movie hupunguzwa ukuwa kwa kupunguza resolution, kuzi encode na codec kama x264 na x265, kupunguza bitrate etc same kwa mp3. unachotakiwa hapo ni kutafuta video editor kama freemake video converter au handbrake then ufanye hio kazi.

FREE Video Converter by Freemake: MP4, MKV, MP3, AVI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom