Nataka ku install whatsapp plus kwenye tecno j8 lakni inagoma naomba msaada

Na kama inagoma bado jaribu kwenda kwenye program ya play store na kisha download whatsapp plus na kisha install tena.
 
Mi natumia parallel space inapatikana play store. Una install kama kawaida kupitia play store. Ukiifungua kuna alama ya + una add whatsapp. Unafuata taratibu za kawaida za ku verify namba. Weka namba unayotaka kutumia
 
Nimetuwa link lkn bado inakataa
Njia nayoifahamu Mimi ni kwanza inatakiwa use umeiroot SIMU yako then fuata hatua zifuatazo
4149d665263498b6b182b892a925bb43.jpg

Ukishindwa nicheki 0657 639297 whatsapp only
 
Back
Top Bottom