Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wanabodi nimenunua modern lkn imrnishinda set up zake kama kuna mtu Ana taarifa nayo naomba maarifa please,
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaa wapi naweza kubadilisha kioo cha hii tv na gharama zake... Natanguliza shukrani!!
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Husika na Kichwa hapo Juu Mimi ni mmiliki wa website moja ya movie, katika website yangu mtu anakuwa analipia kiasi fulani kwaajili ya kuwa member katika website hiyo sasa nimekaa nikafikiria hili...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Hello wana jamvi! Naombeni msaada maana simu yangu nikiangalia IMEI then hizo namba nikizitima kwenye namba 15090 ya TCRA naambiwa ni BANDIA hivyo niibadilishe. Simu hii ni products ya TECNO...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina simu ya Samsung s5 imekufa kioo kiasi haionyeshi kitu nadhani ni touch system yote inatakiwa kubadilishwa. So wapi nitapata kioo hicho na mafundi hasa kwa hapa DSM?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada kwa wale wanaojua jinsi ya kuchora coordinates, histograms, Na solving linear programming using a computer.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna number inaanzia na hyo code inanisumbua then nikipiga haeleweki
0 Reactions
21 Replies
31K Views
Nina tv flat LED SINGSUNG imevunjika kioo, nimetafuta kioo kingine kwa huku Mbeya imeshindikana, kwa yeyote anayeweza kunisaidia hata kwa information napataje kioo hicho ili niweze ku replace...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina laptop HP ProBook. Herufi za mwisho mkono wa kulia na kushoto kwenye keyboard hazifanyi kazi. Hii nimesababishwa na nini?? Nisaidieni wataalamulaptop
0 Reactions
3 Replies
825 Views
Natumia Tecno c8, nikitumiwa meseji kwenye WhatsApp au Imo notification haziji muda muafaka ( automatic ) hata kama data iko on. Nikiingia labda kwenye WhatsApp ndio nakutana nazo. Yaani kwa lugha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu! Natafuta simu mpya inayo suppot 4G, bajeti yangu ni tsh 200,000/= lakini sijajua ni brand gani nitapata kwa sifa na bajeti hiyo... nipo dar! Msaada tafadhali kwa mwenye kujua.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Zipo taarifa za kutoka TCRA kuwa ifikapo June simu nyingi zitazimwa ,ambazo kwa viwango vyake sio halisi. Kwa utafiti wangu huku mtaani kutakuwepo kilio ambacho na malalamiko huenda kushinda cha...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
wanajukwaa naomba msaada wenu.. hivi simu mpya kushindwa kuwaka licha ya kuichaji kwa almost masaa ma4 inatokana na nini? ni tecno c5
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jaman wandugu habari zenu simu yangu aina ya be model:UNO20 haionyesh alama za data pale juu lakini data zinawaka kama kawaida lakini huoni 3g,h+ wala nini na internet haifungui msaada tafadhali
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu, naomba kufahamishwa kitaalamu.Mimi ninafanya shughuli za ujenzi na shughuli mbalimbali za kiuchumi. -Huwa natumia sana internet ya vodacom na halotel.Lakini nimekuwa nikichunguza...
2 Reactions
45 Replies
8K Views
Najua wengi ni watumiaji wa OS ya window ikiwemo xp,w7,8,8.1,10n.k leo tujadili kuhusu hili tatizo kama linavyojieleza kwenye title hapo juu . Kwa namna ninavyofahamu Tatizo hili usababishwa na...
1 Reactions
0 Replies
710 Views
Wakuu tuelimishane kuhusu web browser ni ipi iko vizuri na unapenda kuitumia kwa sababu ipi, je extensions zinazoweza kutokea kwenye hiyo browser unazipenda na kama huzipendi unachukua hatua gani...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Nacho Ni Aina Au Staili Ya Maandishi Wanayotumia (font) Kwenye Jina La Brand Za Simu Zao. Hivi Katika Font Zote Duniani Jamaa Wameona Ile? Ni Mbaya Kwa Kweli Hadi Inapoteza Ubora Wa Simu Zao...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
software gani nzuri ya kuflash simu za android
1 Reactions
0 Replies
437 Views
habari wakuu natumai tupo poa bt naomba natumia laptop Dell Latitude|E6400 mwanzo nilipotoka nayo dukani ilikuwa inaconnect Wi-fi bila shida yeyote lakini windows yake haikuwa Gunien hivyo...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…