Vyeti vya Fadhili Masawe Michael vimeokotwa

nickhubert

Senior Member
Jun 17, 2015
113
25
VYETI ,VYETI, VYETI .....Vyeti vimeokotwa , vyeti vya FADHILI MASAWE MICHAEL kidato cha nne amemalizia shule ya secondary GG .SHULUA iliyoko box 60138.Dar es salam,

Kidato cha sita amesomea shule ya MWENGE sec, School baada ya hapo kajiunga na masfunzoo ya JKT kwa muujibu, kikosi cha BULOMBOLA

Tafahali unaombwa kama unamfahamu au unaweza mfikishia taarifa kuwa vyeti yake vimekotwa viko mahali salama tuwasiliane kwa no; 0755-233755 AU. 0784900291
 
Nakuombea kwa ALLAH wewe uliyeokota hivyo vyeti upate mafanikio zaidi...akuondoshee maradhi na husda na akuzidishie upendo na kila ukishika moja kwa uwezo wake ALLAH iwe mbili....Tusemeni Aaamin..!!!
 
Watanzania ma-Elfu wangekuwa kama wewe,hakika hii nchi ingekuwa mbali.....
 
VYETI ,VYETI, VYETI .....Vyeti vimeokotwa , vyeti vya FADHILI MASAWE MICHAEL kidato cha nne amemalizia shule ya secondary GG .SHULUA iliyoko box 60138.Dar es salam,

Kidato cha sita amesomea shule ya MWENGE sec, School baada ya hapo kajiunga na masfunzoo ya JKT kwa muujibu, kikosi cha BULOMBOLA

Tafahali unaombwa kama unamfahamu au unaweza mfikishia taarifa kuwa vyeti yake vimekotwa viko mahali salama tuwasiliane kwa no; 0755-233755 AU. 0784900291
 
Fadhili ana divisheni gani! ukute alipoteza baada kufuatia kupanic baada ya kutimuliwa UDOM
 
Kingekuwa kibunda cha pesa na hivyo vyeti sidhani kama ungekuja hapa jf kwa mwendokasi na hili tangazo..:D:D teh
....ANYWAY umefanya jambo la busara sana.
 
Be blessed mr! only few tanzanians have the heart like that,thanks a million
 
Na atakaye kuja kuchukua akuonyeshe kitambulisho mkuu...
 
Back
Top Bottom