Jinsi ya Kujua UBORA wa simu na kama ni Orijino au Feki

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,522
24,010
JINSI YA KUJUA SIMU ORIGINO NA FEKI

Kabla hujanununa simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06# , itaonyesha namba ya pekee (serial

number ) au IMEI (International Mobile Equipment Identity) namba ambayo ni lazima ziwe namba 15 au zaidi, na nilazima ianze na namba 35.
1. Sasa angalia kwa makini kama namba unazoziona zinafanana moja kwa moja na namba zilizoandikwa katika simu sehemu ambayo betri inakaa (battery base). Namba hizi zinapaswa kufanana kwa simu ambayo ni origino.

2. Simu yaweza kuwa origino lakini katika viwango nya ubora(qualities ) tofauti . Sasa tunaanza kuchambua IMEI ili kujua ubora. Katika namba hizo namba ya saba(7) nay a name(8) ndizo zinazohakikisha ubora wa simu yako.

• Kama namba ya saba nay a nane ni 00 inamaana kuwa simu yako imetengenizwa kwa ubora wa juu kabisa katika viwanda vya kuaminika.
• Kama namba ya saba na y a nane ni 01 au 10 inamaana sumu yako imetengeneza Finland na ina ubora wa juu pia.

• Kama namba ya saba na y a nane ni 13 inamaana simu yako imeunganishwa katika nchi ya Azerbaijan na ni hatari sana kwa matumizi na afya yako.

• kama namba ya saba na ya nane ni 02 au 20 inamaana simu yako imeunganishwa katika nchi ya Emirates hivyo ina kiwango cha chini sana.

• Kama namba ya saba nay a nane ni kati ya 03 au 30 au 04 au 40 inamaana simu yako imetengenezwa China lakini ina ubora mzuri ila haijafikia zile zenye 00 , 01 au 10.

• Kama namba ya saba nay a nane ni 05 au 50 inamaana simu yako imatengenezwa labda Brazil ama USA ama Finland.

• Kama namba ya saba na ya nane ni 06 au 60 simu yako imetengenezwa Hong Hong, China au Mexico.

• Kama namba ya saba nay a nane ni 08 au 80 simu yako imetengenezwa Germany na ina ubora wa kawaida.

Unaweza pia kuangalia simu uliyonayo sasa kujua kama unatumia simu origino au feki na yenye kiwango gani.
Utafiti huu unatoka katika nyanzo nya kuaminika na kama una swali au maoni tafadhali andika comment hapa chini tutakujibu haraka iwezekanavyo

NB: MAELEZO MENGINE HAYA HAPA
Is Your Cell/Mobile Phone Fake? Check it through your IMEI
 
Siyo zote lazima zianze na 35,ndio ziwe original!! Halafu hapo hakuna 07 au 70, zipo simu nyingi zenye namba ya saba na nane 07 je hizi ubora wake upoje??
 
Inamaana simu yangu niliwahi kuiflash inahesabika no fake...Huyu baba Jesca ....
 
Mhhh.. Mbona nina nokia yangu 6600 Made in Hungary imei ni 03 uliosema ni ya China..
Nina Samsung sgh e340 imei 00 made in Korean.... Nina Sony Cmd z7 imei 32 made in France... Nina blackberry 8310 imei 80 made in Mexico na palm treo 500 imei 01 made in Taiwan...zote zina contradict maelezo yako.. Hizi Information hizi umepata wapi? Ningependa source..
L
 
JINSI YA KUJUA SIMU ORIGINO NA FEKI

Kabla hujanununa simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06# , itaonyesha namba ya pekee (serial

number ) au IMEI (International Mobile Equipment Identity) namba ambayo ni lazima ziwe namba 15 au zaidi, na nilazima ianze na namba 35.
1. Sasa angalia kwa makini kama namba unazoziona zinafanana moja kwa moja na namba zilizoandikwa katika simu sehemu ambayo betri inakaa (battery base). Namba hizi zinapaswa kufanana kwa simu ambayo ni origino.

2. Simu yaweza kuwa origino lakini katika viwango nya ubora(qualities ) tofauti . Sasa tunaanza kuchambua IMEI ili kujua ubora. Katika namba hizo namba ya saba(7) nay a name(8) ndizo zinazohakikisha ubora wa simu yako.

• Kama namba ya saba nay a nane ni 00 inamaana kuwa simu yako imetengenizwa kwa ubora wa juu kabisa katika viwanda vya kuaminika.
• Kama namba ya saba na y a nane ni 01 au 10 inamaana sumu yako imetengeneza Finland na ina ubora wa juu pia.

• Kama namba ya saba na y a nane ni 13 inamaana simu yako imeunganishwa katika nchi ya Azerbaijan na ni hatari sana kwa matumizi na afya yako.

• kama namba ya saba na ya nane ni 02 au 20 inamaana simu yako imeunganishwa katika nchi ya Emirates hivyo ina kiwango cha chini sana.

• Kama namba ya saba nay a nane ni kati ya 03 au 30 au 04 au 40 inamaana simu yako imetengenezwa China lakini ina ubora mzuri ila haijafikia zile zenye 00 , 01 au 10.

• Kama namba ya saba nay a nane ni 05 au 50 inamaana simu yako imatengenezwa labda Brazil ama USA ama Finland.

• Kama namba ya saba na ya nane ni 06 au 60 simu yako imetengenezwa Hong Hong, China au Mexico.

• Kama namba ya saba nay a nane ni 08 au 80 simu yako imetengenezwa Germany na ina ubora wa kawaida.

Unaweza pia kuangalia simu uliyonayo sasa kujua kama unatumia simu origino au feki na yenye kiwango gani.
Utafiti huu unatoka katika nyanzo nya kuaminika na kama una swali au maoni tafadhali andika comment hapa chini tutakujibu haraka iwezekanavyo

kwa hisani ya tzchoice
Hamna lolote, uongo mtupu
 
Mleta mada nae",,,,,
TcRA Wameshanikwepa, cna usumbufu kiwango huko TBS
 
Mkuu una simu nyingi, naomba moja, nimefunguka

Hahaha.. Mbona hizo chache ninazo nyingine nyingi maana hizo ni simu zangu za tokea 2005 siuzi naziweka nionyeshe wanangu.

Sasa mtoa mada alivyo weka hii post nikazitoa nione kama anachosema ni kweli kumbe anatulisha matango pori.
 
Mkuu si ndo unitumie uliyo simu ulioitumia majuzi mkuu

Back
Top Bottom