kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,736
Za masiku wakuu,
ni siku nyingi sana sijapita jukwaa hili kuanzisha mada zinazohusiana na masuala ya animation/graphics design.
Leo nimechepuka kidogo kuwasabahi wakuu wangu.
wakati mnapokea salamu yangu,naomba msafishe macho kwa kuitazama(kwa jicho la kiubunifu),zawadi ndogo niliyowaletea.
kwa wale wa watumiaji wa product za apple bila shaka hiyo icon si ngeni kwao(japo haifanani na ile ya apple).
kama kuna mwenye swali kuhusiana na techniques nilizotumia kui- create,awe huru kuniuliza.nitajitahidi kujibu.
Karibuni.
CC kwa wadau wote wa jukwaa hili,wapya na wakongwe kama akina Lukansola cheif-Mkwawa ISO M.CodD MK254 na wengineo