Msaada was Invalid Imei kwa Techno y2 MTK

Kuchasoni Kuchawangu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
623
Reaction score
378
Wakuu, nilii root simu yangu na kui upgrade kutoka 4.4.2 kwenda 4.4.4 tangu nimeibadili imekuwa na tatizo LA kuchagua baadhi ya laini na kuandika invalid imei. Baadhi ya laini siwezi kupiga wala kutuma SMS isipokuwa kuchat internet tu. Nimejaribu kurestore tatizo liko palepale. Mwenye utaalamu wa hili tatizo anisaidie wakuu.
 
Tumia mtk engineering tool ipo playstore... Uta attach imei yako ya zamani upya.. Then its over
 
Requirements:
1. Rooted Android device
2. Chamelephon App ipo playstore

FOLLOW STEPS BELOW
Step 1
Run and install the downloaded Camelephon app on your device
Step 2
After installing, open the Chamelephon app, then click on Authorize
root permission if asked for root access as seen below.
Authorise superuser permission
Step 3
The first box is for the IMEI of the sim 1 while the second box for Sim
2 but that’s if you are using a dual sim phone.
Step 4
Make sure you have already generated the IMEI (tumia imei hizo nyuma ya simu yako ku attach hapo.
Step 5
Insert IMEI and click on “Apply new IMEIs”
Now that the IMEI is ready, go ahead and insert IMEI in the spaces
provided and click the “Apply New IMEI ” button below.
Step 6
Confirm the change, do this by rebooting your device (see Android
rebooting tips above). Dial *#06# to view your new IMEI
 
Mkuu nimejaribu kufanya kama ulivyonielekeza inaonyesha kukubali lakini ukipiga *#06# inasema invalid, wapi nakosea?
 
Umereboot simu ulivyo maliza? Tumia mtk engineering tool basi
 
Inasema hivi
The IMEI numbers will be changed after device restart.

1. Shutdown your phone or just remove the battery

2. Replace your old SIMs card with new, clean ones

3. Start your phone as you normally would

In order to stay fully anonymous,
you should change you SIM card(s),
everytime you change your IMEI.
 
Restart simu sasa... Kumbuka kuweka imei yako ilokua nyuma ya simu
 
Ili kuandika hiyo imei katika simu yako kama una kompyuta tumia sn$imei writer au Maui meta 3g, kwa kutumia program hizo utaandika imei namba hata ukirestore hazitafutika, lakni apps nyingine ukizitumia katika kuandika ukirestore simu yako imei namba hufutika.

Kama una kompyuta nitakutumia modems file za simu yako ili uweze kuandika imei number kwa sn $ imei au maui.
 
Nitumie mkuu nitatumia kompyuta ya jamaa yangu hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom