Unatumia voda na simu inaandika R badala ya 3g/h , spidi imepungua

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
Kama simu yako inatumia media tek chip mfano tecno. itel, lenovo, n.k unapata R badala ya 3g hata ukizima option ya roaming download mtk engeneering tools kule playstore then fuata hizi hatua
 

Attachments

  • 1.png
    1.png
    99.3 KB · Views: 28
  • 2.png
    2.png
    16.7 KB · Views: 25
  • 3.png
    3.png
    9.7 KB · Views: 39
  • 4.png
    4.png
    4.8 KB · Views: 35
  • 5.png
    5.png
    19.4 KB · Views: 28
Mimi nakutana na tatizo hilo mara nyingi. Nini utatuzi wake?
 
R maana yake roaming,kuna maeneo voda hawana 3g huwa unaweza roaming kupitia tz01
 
Back
Top Bottom