habari zenu wana jukwaa ..... naomba msaada kwa simu tajwa juu nmedondosha na touch inarespond kwa shida ............ je kuna spare zake ( like kioo chake naweza badilisha?)
thanks wacha nifuatilie ......Kioo chake kinapatikana na ukiwekewa kinafanya kazi Kama kawaida,Mimi yakwangu niliidondosha ikawa hai function kabisa na nilivyo badilisha ikawa inapiga kazi kawaida.Mimi kioo na fundi nililipa 40,000# but Kuna wengine wanaweza wakakuambia zaidi ya hapo.
aseee mkuu kwa bei yako umenunulia wap?? coz huku mwanza ni 100,000 na ufundi ni 10000
Hahaha nendeni kariakoo agrey street kioo elfu 18,000/ na ufundi elfu mbili tu. pale agrey karibu na akiba bank
Cha Nokia lumia 630 naweza pata?Sio 15,000/= mkuu?
fika kariakoo mtaa wa uhuru jirani na Akiba Comercial Bank ulizia kwa richCha Nokia lumia 630 naweza pata?
OK asante mkuu bei zake zikoje?fika kariakoo mtaa wa uhuru jirani na Akiba Comercial Bank ulizia kwa rich