mbeyaboyfrancy JF-Expert Member Mar 12, 2015 248 91 Jun 7, 2016 #1 Habari wakuu ipi antivirus nzuri na inayofanya kazi ipasavyo katika smartphone zetu
I Islam005 JF-Expert Member Nov 1, 2008 3,342 3,494 Jun 7, 2016 #3 Hakuna,usidanganyike na hizo apps wanazotangaza. Weka antivirus kwa ajili ya features kama lock,find your phone,etc ila sio kuzuia virus.
Hakuna,usidanganyike na hizo apps wanazotangaza. Weka antivirus kwa ajili ya features kama lock,find your phone,etc ila sio kuzuia virus.