MSAADA WA HARAKA KINGAMUZI CHA STAR TIMES

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Wananchi Mjumbe wenu nahitaji kujua ni channel gani wanaonyesha Mpira wa copa America ktk star times nataka ni recharge ili niangalie hyo additional channel ya Soccer.
 
Mkuu mechi zenyewe inabidi uwe popo, maana inayowai inaanza saa sita kamili usiku kwa majira yetu....Nyingi ni saa Nane,tisa hadi kumi Na moja aflajiri.

Wewe lipia tu kuna channel kama mbili zinaonyesha.
 
Nijulishe tuu mkuu ni Chanel gani ktk kisumbusi cha star times
 
Back
Top Bottom