Tony Yeyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 727
- 548
Ni model gan ya iphone 6 ambayo ina tumika international mana naona kuna models tofaut kutegemea na nchi je model ya kimataifa ni ipi na kaa Tanzania model ina fanya kazi... Mana simu ata kama original lakin haikutengenezwa kwa matumizi ya Tanzania basi apo kuna utata.