Kuna nyumba nimehamia kila umeme ukikata na socket breaker inakata, na kuna wakati socket breaker inakata tu umeme. Hili tatizo ni nini fundi akija aanzie wapi.
Habari wanabodi,
TCRA imesikia vilio vya wadau wa simu za mkononi,taarifa za ndani zinasema kwamba kuanzia May 2015 simu yako ikiibiwa piga simu haraka sana huduma kwa wateja TCRA kuelezea...
Kwanza natanguliza shukrani za dhati kwa msaada niliopata humu baada ya kuleta uzi wangu.
My thanks go to Chief Mkwawa and other JF members.
Leo niko na shida nyingine. Nili-search uzi wa...
Wakuu naomba anaefahamu Programm au App ya Kuunga na kuedit videos mbali mbali.
Actually nimezirekodi kupitia simu yangu but nataka nizihamishie kwenye laptop ili niziedit na kuziunga.
Kifupi...
#Sayansi NaTeknolojia Njia ya kuepusha akili bandia kuhatarisha binadamu yatafitiwa
Watu wengi wana wasiwasi kuwa kama akili bandia inaweza kuhatarisha maisha ya binadamu hata kuwaua au la...
Kampuni ya UBER inayomwezesha kila mwenye gari kufanya biashara ya TAXI sasa imeanza kazi Tanzania na itaanza safari za majaribio Alhamisi hii. Unaweza kudownload App yao Playstore au AppStore...
Nenda kwenye setting afu account zen privary mwisho toa tick kwenye sehemu ya read receipts. Hapo hata ukisoma Ujumbe wa mtu hataona blue tick Kama umesoma.
Habari wana jamvi.
Sina nia mbaya na biashara za watu Lakini kwa hili.....wacha nitoe ya moyoni.
Ninapenda sana kuangalia mpira wa miguu hasa wa Uingereza (EPL); tatizo langu ni kuona DStv...
Naomba kufahamu namna ya kupima ujazo wa maji katika tank, nafikiria kujenga karo lenye upana wa futi 3 na urefu wa futi 4, kimo futi 5. (Nikumbusheni formula)
How many times have you been messaging a group of people and you try to answer a question or respond to something, but someone else writes something unrelated before you can reply? Your message...
Kwa anaejua jins ya ku up-date simu model iliyotajwa juu,msg inatokezea mara kwa mara ikitaka ni up-date software,ila nakua na option ya ku postpone.Je,kuna effect gani kama nitaendelea ku...
Ni project iliyoanzishwa na mwanafunzi wa UDOM akishirikiana na mwanafunzi wa UDSM.
Saidia watanzania wenzako kung'ara Africa
Dear friends
My project "Software that people will pay online for...
Habari wana JF
nilikua naomba kujua series za intel HD grahpics me nasikiaga kuna
intel hd grahics ya 2000
intell hd graphics ya 2500
intel hd graphics 3000
intel hd graphic 4000
naomba...