Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba msaada wa Activation Keys za Window 7 Ultimate waungwana. Thanx in advance.
0 Reactions
3 Replies
819 Views
Wakuu kama kuna mtu aliyefanikiwa kutumia application yoyote kuangalia tv stations za tanzania or east africa online kwa kutumia smartphone or tablet naomba anisaidie
0 Reactions
3 Replies
5K Views
JIUNGE NA HII PROGRAM AppMahal UPATE UJISHINDIE SIMU YA SMARTPHONE KUBWA BOFYA HAPA انضم معي الى AppMahal# ! احصل عليه مجانا من متجر جوجل KWA SUALI LOLOTE KARIBU
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Naomba mtu anayejua Android smartphone nzuri ya chini ya Tsh.500,000 anijuze
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Nokia Asha 230 Inadumu chaji. Qn.Hivi ina uwezo wa kutumia browser kama vile safari na Chrome? msaada tafadhali! Qn.Bei yake dukani kwa sasa tsh ngapi kwa Dar es salaam?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhali mwenye kujua solution ya tatizo hili laptop yangu aina ya HP screen haitulii vimistar juu ya screen pamoja na kushake kwa screen baada ya sec 2 .msaada tafadhali
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, nimenunua huawei p6, kwa mtu ikiwa na android version 4.4.2, nimejaribu kufanya hard reset kwa kuenda kwenye setting na pia kwa ku-click power button and volume up, lakini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Je hili tangazo lina maana hii:- “not cybercriminals, nor hackers, nor oppressive regimes” – nor WhatsApp themselves can read your messages, unless they have your phone and password."?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Walioitumia na wanaoitumia naomba wanisaidie tafadhali TECNO L5 inakaa na chaji kwa siku ngapi kwa data ya 3G ikiwa ON while on heavy usage. Je,TECNO L5 na L8,ipi inayokaa na chaji zaidi ya mwenziye?
1 Reactions
1 Replies
648 Views
Wadau mi sio mtaalamu sana wa Teknolojia hii.Kuna system ya NHIF naitumia kuingiza information za fomu online. Tatizo leo asubuhi wakati nawasha kompyuta ikatoa ujumbe kuwa window...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau nimekua nikitumia hii software kwa Ku download Mambo ambayo siyo torrents na inauwezo mkubwa sana pamoja Lakini pia huwa na download kwa Kutumia Utorrent katika site ambazo zina Torrent...
5 Reactions
31 Replies
7K Views
Wana bodi, Salaam!! Nina tatizo na facebook yangu nime log out sasa ni kijaribu kulog in inakataa inaniambia nimekosea anwani ambayo naitumia kila niki log Anuwani hiyo ni hii...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Jamaani eee! Nataka kujifunza basics za graphics design (na pengine zaidi) kwa ajili ya magazeti, picha, web, etc. Je, ni wapi ndani ya dar-es-salaam kuna shule nzuri kwa ajili hii...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Jamani waungwana naomba mnipe msaada nina simu ya C8 Tecno ila kinachonisumbua ni kuwa nimesave majina kwenye phonebook ila wasap ni namba tu zinaonekana na call history sasa sijui nifanye nini...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Technolojia ina mengi na inaumiza wengi tusio kuwa na uelewa nayo. Kumbe kuna wimbi kubwa sana la watu wana agiza magari kutoka nje na hata kununua kwenye show room za hapa bongo kwa kigezo cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je Site Kama Mkito Wana Hifadhi vipi miziki online na Wanafanyaje Ili Kutengeneza Download Links
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mimi ni mzee mkoloni nisiependa kabisa hizi channel za burudani kwani zinapendwa zaidi na mke na watoto zaidi kuliko channel za habari. Mimi sikatai wao kutizama lakini changamoto...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
So sometime back nilipost kwenye jukwaa la "Matangazo Madogo" kuwa nilikua nahitaji kama kuna mtu mwenye miwani za 3D za Anaglyph ( Red & Cyan ) aweze kuniuzia... Lakini kwakwel sio hapa tu bali...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimejaribu kununua umeme wa LUKU kupitia Mpesa leo toka asubuhi lakini napata error message hii: " The bill number does not meet the third-party authentication rules." Nimejaribu kupiga customer...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kampuni ya Buffer inayotengeneza tovuti na Apps zinazosaidia watu kumanage social media ina utamaduni wa uwazi/transparency kiasi kwamba mishahara ya wafanyakazi wote wanabandika mtandaoni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…